Hifadhi ya Kisiwa cha SaaNane, Mwanza
Basi bwana miaka miwili iliyopita nilipata nafasi ya kwenda Mwanza kwa mara ya kwanza! Ilikuwa ni kama ‘dream come true’ hivi kwasababu ni moja ya sehemu ambazo nilikuwa nataka sana kuzitembelea. Toka mwaka huo nimeenda Rock City mara nyingi sana na hakuna sehemu napenda kutembelea kama Kisiwa cha Saanane! Mandhari ya Kisiwa hiki hayaelezeki. Ni…