Kalam Salaam: Je, fasihi inaweza kubadili dunia?
Je, fasihi inaweza kubadili dunia? Hili ndilo swali lililojadiliwa katika jukwaa la Kalam Salaam, linaloandaliwa na Mkuki na Nyota kila Alhamisi ya kwanza ya mwezi. Kama mdau wa vitabu, usomaji, na fasihi kwa ujumla, nimehudhuria jukwaa hili mara kadhaa. Nilipotafutwa kuwa mmoja wa wajadili mada hii, sikusita kusema ndiyo. Sikusema hivyo kwa sababu nilikuwa na…